Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Hassani amvisha pete mpenzi wake uwanjani

35C527E0 7DE0 4077 86AD 07CB24E0FA88 660x400.jpeg Picha: Hassani amvisha pete mpenzi wake uwanjani

Tue, 6 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Staa wa Minnesota FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS) Hassani Dotson amegonga vichwa vya habari namna alivyoamua kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake Petra Vuckovic baada ya mechi.

Hassani alifanya tukio hilo baada ya sare ya 2-2 dhidi ya San Jose Earthquake ndipo alipomuita mpenzi wake Petra na kum-surprise.

Chanzo: millardayo.com