Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Atletico Madrid walivyotembeza kombe la Europa League mitaani

8179 32025601 397622964089285 3048951589273337856 N TZW

Sun, 20 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya ska ya Atletico Madrid ya Hisania, Ijumaa hii imelitembeza mitaani kombe la Europa League ambalo walishinda Jumatano ya Mei 16 kwa kuifunga Olympique de Marseille kwenye mchezo wa fainali.



Kwenye mchezo huo ambao ulichezwa kwenye uwanja wa Parc Olympique Lyonnais, Ufaransa, ulishuhudia Atletico wakiibuka na ushindi wa mabao 3-0. Tazama picha za kombe hilo lilivyotembezwa mitaani.



























Loading...
Chanzo: bongo5.com