Wed, 25 Aug 2021
Chanzo: millardayo.com
Agosti 25, 2021 ambapo klabu ya Soka nchini, Young African “Yanga SC” imetambulisha rasmi jezi zake mpya zitakazotumia katika msimu wa 2021/2022 katika michuano mbalimbali, jezi zilizotambulishwa nyumbani, ugenini na third kit.
Kwa bei ya awali jezi hizo zitauzwa kwa bei ya jumla Shilingi Elfu 28 na bei ya Reja Reja kwa Shilingi Elfu 35.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
SHERIA NGOWI NDIO MBUNIFU WA JEZI ZA YANGA, WAZINDUA JEZI AINA 10, ATOLEA UFAFANUZI NA MAANA YAKE
HAJI MANARA ALIVYOONDOKA BAADA UZINDUZI WA JEZI, MASHABIKI WASUKUMA GARI YAKE
https://www.youtube.com/watch?v=J1cdJrfDfT0
Chanzo: millardayo.com