Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Perfect Chikwende asajiliwa na Simba SC

816A11DE 96FA 4716 880A 3F7A9E159A26 660x400.jpeg Perfect Chikwende asajiliwa na Simba SC

Sun, 17 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Club ya Simba SC imethibitisha kuwa imemsajili mchezaji Perfect Chikwende kutokea FC Platinum ya Zimbabwe.

Chikwende aliingia katika rada za Simba SC baada ya kuwafunga Simba katika mchezo wa round ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika jijini Harare Zimbabwe.

Taarifa hizo sasa ni rasmi baada ya awali kuwa kama tetesi, Simba hawajataja wazi mkataba wa miaka mingapi wamempa Chikwende lakini inasemekana ni mkataba wa miaka miwili.

Chanzo: millardayo.com