Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pendo Njau Mwamuzi Bora wa kike

Pendo Njau Mwamuzi Mwamuzi wa masumbwi nchini, Pendo Njau

Mon, 10 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi wa masumbwi nchini, Pendo Njau ametangazwa mwamuzi Bora wa mwaka 2024 kwenye tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

Mwamuzi wa masumbwi nchini, Pendo Njau ametangazwa mwamuzi Bora wa mwaka 2024 kwenye tuzo zilizoandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT). Tuzo hizo zinafanyika leo Jumapili, Juni 9, 2024 kwenye Ukumbi wa The Super Dome jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live