Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

POLISI WATANGAZA VITA NA KIPANGA.

Image 56.png?fit=840%2C459 POLISI WATANGAZA VITA NA KIPANGA.

Tue, 21 Jul 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Timu ya Polisi imeenza kutangaza vita na Kipanga baada ya timu hiyo kuing’oa Kipanga kutoka nafasi ya 6 na sasa nafasi hiyo ya 6 inashikiliwa na timu ya Polisi.

Polisi Jana iliwakaribisha Selem View katika uwanja wa Mau A Saa 10 ambapo Polisi iliwaadhibu Selem View kwa kuwafunga goli moja kwa mzunguko .

Ligi Kuu Zanzibar Leo inaendelea tena kwa kuchezwa michezo mitatu kwa kituo cha Unguja tu.

Story by www.dimbani.co.tz

Chanzo: zanzibar24.co.tz