Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 8:Kutoka kwenye fainali za Ndondo Cup, RC DSM ahudhuria

3 1 Copy 660x400 PICHA 8:Kutoka kwenye fainali za Ndondo Cup, RC DSM ahudhuria

Sat, 28 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

NI Agosti 28, 2021 zimefanyika Fainali za Ndondo Cup ambapo Vifundo FC ya Temeke imekutana na Tabata All Stars, katika mchezo huo wa dakika 90 kumalizika Vifundo waliibuka kwa ushindi goli 1-0 Tabata All Stars.

Mchezo huo umechezwa katika uwanja wa Bandari uliopo Temeke jijini Dar es Salaam.

Hapa Millardayo.com imekusogezea picha kumi za matukio mbalimbali kutoka kwenye mchezo huo.

.



.



.



.

.



.

Chanzo: millardayo.com