Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 4: Aubameyang alivyoondoka Dortmund kuelekea London

2297 48BBA60D00000578 5329841 Image M 12 1517324062482 634x400

Wed, 31 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon anayecheza soka la kulipwa katika club ya Borussia Dortmund ya Ujerumani Pierre-Emerick Aubameyang amenaswa na maparazi akiwa njiani kuelekea London kwa ajili ya kukamilisha usajili wa kujiunga na Arsenal.



Aubameyang amenaswa na maparazi akiondoka uwanja wa ndege wa Dortmund kuelekea London kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kutoka Borussia Dortmund kwenda Arsenal.



Kama utakuwa unakumbuka vizuri Jumatatu ya January 29 2018 Aubameyang aliripotiwa kuwa club yake ya Dortmund imekubaliana kumuuza kwenda Arsenal kwa dau la pound milioni 55 na atakuwa mchezaji ghali kununuliwa baada ya Lacazette, Aubameyang atakuwa akilipwa pound 180000 kwa wiki.



VIDEO: Magoli ya John Bocco na Okwi yalivyoiua Majimaji FC leo

Chanzo: millardayo.com