Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 3: Mrisho Ngassa ametuonesha mpenzi wake

1818 Screenshot 20180123 151611 660x400

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga ambaye kwa sasa anacheza soka katika club ya Ndanda FC ya Mtwara Mrisho Ngassa leo January 23 2018 ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya mpenzi wake.



Kupitia ukurasa wake wa instagram Mrihso Ngassa ameamua kupost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika ujumbe mrefu wa kumtakia heria ya siku ya kuzaliwa.



Ngassa yupo katika list ya mastaa wa soka ambao wanapenda mambo ya kuweka private sana ila leo kamuweka wazi mpenzi wake kwa kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa na kumuomba msamaha.





Juma Nyosso alivyokamatwa na Polisi baada ya game ya Kagera vs Simba

Chanzo: millardayo.com