Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota wa Mieleka wa Marekani afariki Dunia

Staa Mieleka Nyota wa Mieleka wa Marekani Michael Jones

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Mieleka wa Marekani Michael Jones (61) almaarufu kama “Virgil” amefariki dunia.

Kupitia Mtandao wa X, Refa wa Mieleka Mark Charles amethibitisha kuwa Virgil alifariki kwa amani akiwa hospitali.

Mwanamieleka huyo alivuma zaidi kwa kazi yake katika Shirikisho la mieleka duniani (WWF) kati ya miaka ya 1980 na 1990.

Mwaka 2022 Virgil alitangaza kusumbuliwa na saratani ya utumbo pamoja na ugonjwa wa ubongo unaoathiri kumbukumbu na uwezo wa kufikiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live