Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota kuikamua Yanga Sh4 bilioni

Nyota Pic Data Nyota kuikamua Yanga Sh4 bilioni

Mon, 28 Jun 2021 Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

Klabu ya Yanga imetenga kitita cha Sh4.9 bilioni kwa ajili ya mishahara ya msimu wa 2021/2022.

Mbali na kitita hicho, pia imetenga bajeti ya Sh854.7 milioni ambayo ni kwa ajili ya bonusi.

Katika taarifa ya mapato na matumizi ambayo wanachama wa klabu hiyo wamepewa kwenye mkutano mkuu unaoendelea jijini Dar es Salaam, Yanga imeeleza kuwa inatarajia kukusanya Sh 8.1 bilioni kwenye vyanzo vyake vya mapato na matumizi yake ni Sh 7.9 bilioni.

Mkutano huo unaondelea leo Jumapili Juni 27, 2021 katika ukumbi wa DYCC jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz