Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nilishinikizwa kusema Messi ni bora kuliko Ronaldo - Boeten

Nilishinikizwa Kusema Messi Ni Bora Kuliko Ronaldo   Boeten Nilishinikizwa kusema Messi ni bora kuliko Ronaldo - Boeteng

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa ‘soka’ nchini #Germany ambaye pia aliwahi kuchezea ‘timu’ ya taifa ya #Ghana Kevin-Prince Boateng amefunguka na kudai kuwa aliwahi kushinikizwa kusema #Messi ni bora kuliko Ronaldo ili aweze kucheza katika ‘timu’ ya Barcelona.

Kufuatia mahojiano yake na Rio Ferdinand amesema kuwa wakati alipojiunga na ‘klabu’ ya Barcelona aliulizwa kati ya Messi na Ronaldo nani mchezaji bora duniani? huku akilazimishwa kusema kuwa #Messi ndiyo bora zaidi la sivyo asingepewa nafasi ya kutechezea ‘timu’ hiyo.

Hii inakuja baada ya kuulizwa swali kuwa ni uongo gani mkubwa aliowahi kuusema katika maisha yake na kueleza kuwa Messi ni bora kuliko Ronaldo licha ya yeye kuamini kuwa #CR7 ndiyo bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live