Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ndondo Super Cup kazi inaanza kesho February 17 2018 !!!

3424 DSC 6213.MOV.Still002 660x400

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Mwenyekiti wa kamati ya Ndondo Cup Shaffih Dauda leo ameongea na vyombo vya habari na kusimamia zoezi la ugawaji wa vifaa kwa ajili ya michuano ya Ndondo Super Cup itakayoanza kuchezwa kesho February 17 ikishirikisha timu 4 ambazo ni Itezi United ya Mbeya, Mnadani FC ya Mwanza, Misosi FC na Goms United.



VideoMAGOLI: Yanga vs Majimaji FC Feb 14 2018, Full Time 4-1

Chanzo: millardayo.com