Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Naomi Osaka amuonyesha kazi Serena Williams michuano ya Miami Open

5198 Skysports Osaka Tennis Miamiopen 4261632 TZW

Thu, 22 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mchezaji tennis raia wa Japani, Naomi Osaka amefanikiwa kuendelea na michuano ya wazi ya Miami (Miami Open) baada ya kumtoa Mmarekani, Serena Williams katika mzunguko wa kwanza.



Osaka ameonekana kuzidi kufanya vizuri katika mchezo wa tennis na kupanda hadi nafasi ya 22 kwenye viwango vya mchezo huo duniani baada ya kutwaa ubingwa wa WTA Indian Wells amemtoa Mmarekani huyo kwa seti 6-3 6-2.

Williams ambaye amerejea WTA Tour Californian mapema mwezi huu baada ya kupita miezi 14 toka kujifungua mtoto wake wa kwanza.

Chanzo: bongo5.com