Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

NUGAZ:MUDA WOWOTE MWALIMU ATATUA NA TUTAMTANGAZA

Image 313.png?fit=386%2C380 NUGAZ:MUDA WOWOTE MWALIMU ATATUA NA TUTAMTANGAZA

Tue, 18 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msemaji na Afisa Muhamasishaji Antonio Nugaz amewapamoyo mashabiki wa Yanga kwa kuwambia kuwa muda wowote Yanga itamtangaza Kocha mpya kikubwa mashabiki , wanachama na wapenzi wa Yanga waendelee kuiombea dua timu yao.

“Kikubwa tuendelee kuiombea dua timu yetu kuelekea msimu mpya na Insha Allah muda wowote Mwalimu atatua na tutamtangaza , Mashabiki, wanachama na wapenzi wa Yanga tuendelee kushikamana na Kuwa na Subra naamini tutakwenda Kuwa na kikosi Bora chenye mvuto,Uwezo na cha ushindani. amesema Nugaz”

Kikosi cha Yanga kwasasa amekabidhiwa Kocha msaidizi na viungo wa Yanga raia wa Afrika Kusini, Riedoh Berdien, ndiye amepewa majukumu ya kukinoa kikosi hicho kilichoanza maandalizi ya msimu mpya wa 2020/2021.

Kwa habari za michezo tembelea www.dimbani.co.tz

Chanzo: zanzibar24.co.tz