Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama magoli yote, Yanga vs Azam FC (+Video)

Video Archive
Wed, 7 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga walikuwa na kibarua cha kusaka alama tatu mbele ya matajiri wa Chamazi Azam FC mchezo uliopigwa katika dimba la Mkapa Jijini Dar.

Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya magoli 2-2 huku kiungo Feisal Salum akiwarudisha Yanga mchezoni mara mbili ambazo walitanguliwa.

Tanzaniaweb tunakusogezea matukio yote muhimu yaliyotokea katika mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live