Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzee Mpili azikana picha zinazotrend "Kijiweni na Nazi & akipanda Treni"

Screenshot 2021 07 06 At 13.54.17 660x400.png Mzee Mpili azikana picha zinazotrend "Kijiweni na Nazi & akipanda Treni"

Tue, 6 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Miongoni mwa stori zinazochukulia vichwa vya habari hususani mitandaoni ni kuhusu  Mzee Mpili ambae ni shabiki wa Yanga aliejibebea umaarufu kutokana na ujasiri wa maneno yake.

Mzee huyo alipoulizwa kuhusu picha zinazosambaa mitandaoni ikimuonesha moja akiwa amekaa na Nazi huku nyingine akipanda Treni alizikana na kusema si za kweli bali watu wamezitengeneza.

Zile Picha zinaonyesha nimekaa na nazi na ile inaonyesha napanda treni sio za kweli zimetengenezwa tu . Mimi sifanyi chochote ila nina watu wangu ambao ni kama Askari wangu ambao ndio wanafanya kazi “ – Mzee Mpili

MZEE MPILI: SITEGEMEI YANGA, TUKUTANE KIGOMA, KUMUACHIA KOMBE LA FA NGUMU SANA

Chanzo: millardayo.com