Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanariadha asimamishwa miezi 16 kwa kutumia madawa ya kusisimua Misuli

Thiago Brazillllll Mwanariadha wa Brazil Thiago Braz

Wed, 29 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanariadha wa Brazil Thiago Braz, Bingwa wa Olimpiki mjini Rio mwaka wa 2016 na mshindi wa Medali ya shaba mwaka wa 2021 nchini Japan, amesimamishwa kwa muda wa miezi 16 kwa kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli, kitengo cha uadilifu cha Riadha (AIU) kimetangaza.1

AIU imemsimamisha Thiago Braz kwa muda wa miezi 16 kwa baad ya kukutwa na dawa ya ostarine, ambayo Mwanariadha huyo anasema aliyatumia kupitia vyakula bila kujua.

Shirika la kupambana na dawa za kusisimua misuli linabainisha kuwa Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 30 amekata rufaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live