Mwanariadha mahiri kutoka kenya Eliud kipchoge ametengenezewa sanamu lenye mfanano wake ambalo ni matokeo chanya ya ushirikiano mzuri na kampuri ya Nike, Sanamu hilo limezinduliwa huko Beaverton nchini Marekani.
Mwanariadha mahiri kutoka kenya Eliud kipchoge ametengenezewa sanamu lenye mfanano wake ambalo ni matokeo chanya ya ushirikiano mzuri na kampuri ya Nike, Sanamu hilo limezinduliwa huko Beaverton nchini Marekani. kipchoge na kampuni ya Nike wamekuwa na ushirikiano wenye mafarikio na tija kwa miongo miwili sasa tangu mwaka z2003, Mbali na kuzindua sanamu pia hivi karibuni walizindua wimbo maalumu wa Eliud kipchoge Track& Field makao makuu ya Nike nchini Uholanzi.