Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanariadha Alphonce Simbu anyakua Medali ya Fedha mashindano ya Majeshi ya dunia

81958 Pic+simbu Mwanariadha Alphonce Simbu anyakua Medali ya Fedha mashindano ya Majeshi ya dunia

Mon, 28 Oct 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Mwanariadha Private Alphonce Simbu amefanikiwa kupeperusha bendera ya Tanzania katika Mashindano ya Majeshi ya Dunia na kujinyakulia Medali ya Fedha ( Silver).

Mwanariadha huyo kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania  alimaliza mbio hizo ndefu za Kilometa 42  baada kukimbia kwa muda wa 2: 11.16 na kuwashinda  wengie zaidi ya 90 kutoka zaidi ya nchi 30.

Mshindi wa Kwanza ni Luche Sumi kutoja Bahrain aliyekimbia 2:08.28

Mshindi wa Tatu ni mwanariadha kutoka Rwanda John Hakizimana akiyekimbia kwa karibu nyuma ya Simbu kwa 2:11:19.

Chanzo: mwananchi.co.tz