Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwanamiereka mkongwe aoa kwa mara ya tatu

Mwanamiereka Mkongwe Aoa Kwa Mara Ya Tatu Mwanamiereka mkongwe aoa kwa mara ya tatu

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Legend wa WWE, Hulk Hogan (70) kwa mara nyingine ameamua kuingia kwenye maisha ya ndoa baada ya ndoa zake mbili za nyuma kuvunjika.

Gwiji huyo wa WWE alifunga ndoa na Sky Daily mwenye umri wa miaka 45 siku ya Ijumaa, Septemba 22, huko Clearwater, Florida.

Hulk amefunga ndoa mara mbili hapo awali. Ndoa yake ya pili iliisha mnamo 2021 kwa talaka huku kukiwa na madai ya kutokuwa mwaminifu na migogoro ya kifedha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live