Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwana wa Mfalme aahidi uendelezaji mfuko utamaduni, sanaa

Jkl 1138x640.png Mwana wa Mfalme aahidi uendelezaji mfuko utamaduni, sanaa

Wed, 22 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, Walid bin Talal Al Saudi, juu uendelezaji wa mfuko wa Utamaduni na Sanaa.

Yakubu amefanya mazingumzo hayo na Mwna mfalme hii jana Februari 21, 2023 katika jengo la Kingdom Tower lililopo jijini Riyadh.

Katika mazungumzo yao, Al Waleed ameahidi kusaidia fedha kwa ajili ya kutunisha Mfuko wa Utamaduni na Sanaa pamoja na kutoa misaada mingine kwenye tasnia ya Sanaa kupitia taasisi yake ya Al Waleed Philanthropies.

Katika safari hiyo, katibu Mkuu Yakubu aliambatana na Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Mwadini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live