Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo arudisha Fadhila Yanga

Mwakinyo Hersi Mwakinyo arudisha Fadhila Yanga

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Hassan Mwakinyo leo ametembelea ofisi za Rais wa Klabu ya Yanga Sc Eng. Hersi Said na kukutana nae kwa lengo la kutoa shukrani kwa sapoti aliyoitoa kwa bondia huyo kwenye pambano lake lililofanyika Zanzibar January 27 mwaka huu la kuwania ubingwa wa World Boxing Organization(WBO) kwa upande wa Afrika (WBO Africa Champion)

Bondia Hassan Mwakinyo leo ametembelea ofisi za Rais wa Klabu ya Yanga Sc Eng. Hersi Said na kukutana nae kwa lengo la kutoa shukrani kwa sapoti aliyoitoa kwa bondia huyo kwenye pambano lake lililofanyika Zanzibar January 27 mwaka huu la kuwania ubingwa wa World Boxing Organization(WBO) kwa upande wa Afrika (WBO Africa Champion) Baada ya kuukabidhi mkatanda huo, Bondia Mwakinyo, amesema mchango aliyoitoa Eng. Hersi @caamil_88 ni mfano wa kuigwa hivyo amechukua nafasi hiyo kumuonyesha kile alichokuwa anakisapoti kimefanikiwa kwa ukubwa wake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live