Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakalebela: Nimekuja na neema

Mwakalebela Pic Data Mwakalebela: Nimekuja na neema

Sat, 3 Jul 2021 Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

MAKAMU Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema amerudi na neema ndani ya timu hiyo.

Amesema amefunguliwa kipindi ambacho timu yake ina mchezo wa Ligi na watani Simba nakuweka wazi kuwa timu yake inashinda leo hivyo amerudi na neema.

“Tunawaheshimu wapinzani wetu wao ni bora na sisi ni bora zaidi yao baada ya dakika tisini ukweli utadhiilika,” amesema.

Mwakalebela alifungiwa miaka mitano na Shirikisho la Soka Tanzania baada ya kushinda kesi ameachiwa huru kujihusisha na soka.

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz