Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtibwa Sugar mabingwa wapya Kombe la Shirikisho la Azam ( ASFC) 2018

8588 Der4ujeX0AA4bN1 TZW

Mon, 4 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Mtibwa Sugar imetawazwa kuwa mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuifunga Singida United kwa jumla ya mabao 3 – 1 uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha.



Ni Singida United Vs Mtibwa Sugar Fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Wachezaji waliyo pata kufunga kwa upande wa Mtibwa ni  Salum Kihimbwa, Issa Rashid na latatu likifungwa na Ismail Mhesa dakika ya 83 kipindi cha pili wakati kwa upande wa Singida yakifungwa na Salum Chuku pamoja na Tafadzwa Kutinyu.



Kwa matokeo hayo sasa Mtibwa Sugar ndiyo itawakilisha nchi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAF wakati Simba SC ikiwakilisha upande wa Klabu bingwa Afrika.

Loading...
Chanzo: bongo5.com