Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Morrison Kuvaa Jezi Yenye Jina la Mama Yake

Morrison?fit=680%2C472&ssl=1 Morrison Kuvaa Jezi Yenye Jina la Mama Yake

Thu, 9 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amesema msimu huu 2021-22 atatumia jina la mama yake kwenye jezi. “Nimeamua kuvaa jezi yenye jina la mama yangu kwa kuwa naamini siku zote yuko nyuma yangu. Ni mwanamke muhimu katika maisha yangu,” amesma Bernard Morrison.

Chanzo: globalpublishers.co.tz