Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi

MODEW Mo Dewji atangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya SIMBA  moo dewji ametangaza kumtafuta shabiki wa Simba aliyechaniwa jezi na mashabiki wanaoonekana wa Yanga.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram MO DEWJI amepost ujumbe huu wenye video hio:-

”Namtafuta shabiki huyu wa Simba aliyechaniwa jezi, nataka kukutana nae. Mpira ni Ushindani, Mpira ni Utani, Mpira sio Uadui!”

Chanzo: zanzibar24.co.tz