Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mo Dewji Asitisha Kununua Ferrari na Rolls-Royce

0D6A7600 Scaled 1?fit=2560%2C1707&ssl=1 Mo Dewji Asitisha Kununua Ferrari na Rolls-Royce

Mon, 17 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

BAADA ya kipigo kizito dhidi ya Kaizer Chiefs, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji leo Mei 16, 2021 aamua kuwekeza fedha zaidi katika kuitengeneza Simba iweze kushindana zaidi.

BAADA ya kipigo kizito dhidi ya Kaizer Chiefs, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji leo Mei 16, 2021 aamua kuwekeza fedha zaidi katika kuitengeneza Simba iweze kushindana zaidi. “Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!”-  Mo Dewji

Chanzo: globalpublishers.co.tz