Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkude afanya maangamizi Kenya, aipeleka Simba SC fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup (+video)

Video Archive
Thu, 7 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Klabu ya Simba kutoka Tanzania imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuichapa Kakamega Homeboyz kwa mikwaju ya penati kwa goli 5-4.

Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 za kawaida kabla ya kuamliwa kwa mikwaju ya penati ambapo penati ya ushindi ya tano ya Simba imefungwa na Jonas Mkude.

Tazama magoli ya yote ya penati hapa chini (Video by Maisha TV)



Loading...
Chanzo: bongo5.com