Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkenya apewa cheti cha Guiness

Peres Jepchirchir Wsx Peres Jepchirchir

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bingwa wa Olimpiki Peres Jepchirchir wa Kenya amevunja rekodi ya pekee ya dunia ya wanawake katika mbio za London marathon.

Chepchirchir alitumia muda wa saa mbili dakika 16 na sekunde 16 katika mbio hizo.

Washindi wa rekodi ya dunia Tigst Assefa, Megertu Alemu wa Ethiopia, na Mkenya Joyciline Jepkosgei pia walivunja rekodi ya awali ya wanawake ya saa 2:17:01, iliyowekwa na Mary Keitany mwaka wa 2017.

Tigst Assefa wa Ethiopia alikuwa wa pili huku Joyciline Jepkosgei wa Kenya akiwa wa tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live