Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mishahara Yanga SC kwa Mwezi Sh Milioni 450

Yanga Vs Mbuni Mishahara Yanga SC kwa Mwezi Sh Milioni 450

Fri, 11 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msola amesema kuwa alipoingia madarakani alikuta jumla ya mishahara ya wachezaji na wafanyakazi wa timu hiyo ni shilingi milioni 40 kwa mwezi lakini kwa sasa wanapokea jumla ya mshahara ya shilingi milioni 450 kwa mwezi hii ni kutokana na kuongezeka wa wadhamini wa klabu.

Ameyasema hayo wakati akiongea na wanachama wa klabu ya yanga wilayani Babati mkoa wa Manyara wakati akiwa katika ziara yake ya kutembelea matawi yaliyopo nchini.

Pia amesema kuwa wanayanga wapo wengi sana lakini hawaisadii timu wanachotaka wao muda wote ni furaha tu si vinginevyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live