Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Miquissone Atua Al Ahly

Alahlyegypt 240819911 232717302176141 8186699244706477173 N?fit=746%2C544&ssl=1 Miquissone Atua Al Ahly

Thu, 26 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

MABINGWA  wa Afrika, Al Ahly kutoka Misri wamemtambulisha  mchezaji wa kimataifa wa Msumbuji Luis Miquissone ambaye wamemsajili kutoka klabu ya Simba.

MABINGWA  wa Afrika, Al Ahly kutoka Misri wamemtambulisha  mchezaji wa kimataifa wa Msumbuji Luis Miquissone ambaye wamemsajili kutoka klabu ya Simba. Ahly wamekamilisha dili hilo baada ya Miquissone kuisaidia Simba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara na kufanikiwa kuifikisha Simba hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.

Chanzo: globalpublishers.co.tz