Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgogoro waibuka mgawanyo wa mali za Rapa Takeoff

Skynews Takeoff Migos 5950734 Rapa Takeoff

Wed, 7 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Takeoff alifariki dunia kabla ya kuandika wosia. Familia yake kwa sasa imeingia kwenye mgogoro mzito wakigombea mali zake zenye thamani ya mabilioni.

Taarifa za ndani zinadai kwamba, wazazi wake walitengana kipindi Takeoff ana umri mdogo sana na alilelewa na Mama yake mzazi.

Sasa Baba zake wakubwa na wadogo nao wameibuka na kudai kuwa sehemu ya mali za Takeoff.

Rapa Takeoff alipigwa risasi Novemba 1 mwaka huu, katika mji wa Houston nchini Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live