Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mechi Simba na Yanga inarudiwa, Wananchi wanalipa wanarudishiwa

YANGA V SIMBA 660x400.jpeg Mechi Simba na Yanga inarudiwa, Wananchi wanalipa wanarudishiwa

Tue, 11 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa, amezitaka mamlaka za serikali zinazohusika na masuala ya tiketi kuhakikisha zinawapatia tiketi upya mashabiki takribani 43,000 waliokuwa wamekata tiketi.

Aidha ameagiza mamlaka za soka ikiwemo Bodi ya Ligi na TFF, kupanga upya tarehe ya mechi ya Simba SC vs Yanga.

KUKU ANAUZWA MILIONI 5, NI WEUSI KILA KITU, MAYAI, NYAMA, MACHO, KUKU GHALI DUNIANI

Chanzo: millardayo.com