Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mchezaji DJ Hayden afariki katika ajali

Skynews Dj Hayden Nfl Sports 6358792 Mchezaji wa zamani wa American football DJ Hayden

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa American football DJ Hayden (33), amefariki dunia katika ajali mbaya ya gari iliyotokea Jumamosi huko Houston, Texas nchini Marekani.

Hayden alikuwa kati ya watu sita waliopoteza maisha katika ajali hiyo iliyotokea baada ya gari aina ya Chrysler 300 kuendesha kwa kasi, kuzipita alama za taa nyekundu hadi ugongana na SUV.

Hayden, Mchezaji wa zamani wa NFL amewahi kuchezea timu za Oakland Raiders, Detroit Lions na Jackson Ville Jaguars katika miaka ya 2013 hadi 2020.

Mwaka 2021 alikuwa sehemu ya timu ya Washington Commanders.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live