Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbelgiji wa Simba aanza kusaka kikosi cha kwanza

9575 Pic+kikosi TanzaniaWeb

Thu, 2 Aug 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Kartepe. Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji Patrick Ausemms amesema, anauchukulia mchezo wa kesho Jumatano na Mouloudia ya Morocco kama sehemu ya mazoezi yake.

Mbelgiji huyo ambaye katika mazoezi ya sasa ameanza kusaka kikosi chake cha kwanza.

Amesema, ameamua kicheza mchezo huo ambao ni mmoja kati ya mitatu waliyojipangia kuona anapata kikosi anachokihitaji.

"Mchezo huo kwangu nauchukulia kama sehemu ya mazoezi katika kutengeneza timu,"alisema Ausemms

Simba inaendelea na maandalizi yake katika mji wa Kartepe nchini Uturuki.

Chanzo: mwananchi.co.tz