Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mazoezi ya Mwisho ya Taifa Stars kabla ya kuivaa Kenya

Mon, 5 Aug 2019 Chanzo: --

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya kuwasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano dhidi ya Harambee Stars wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani 2020 zitakazofanyika nchini Cameroon, leo wamefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Kasarani utakaochezewa mchezo wa marudiano.

Chanzo: --