Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matawi 61 Simba yaujaza Uwanja wa Taifa

10820 Pic+kombe+2 TanzaniaWeb

Wed, 8 Aug 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

MATAWI 61 ya wanachama wa Simba hadi sasa ivi yameingia uwanjani tayari kwa ajili ya kuipa sapoti timu yao katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Asante Kotoko.

Baadhi ya Matawi hayo ni pamoja na Simba Kiumeni, Gezaulole Kigamboni, Kimara Temboni, Goba Tegeta, Mabibo na Soweto Mbeya.

Pamoja na idadi hiyo ya matawi bado inaonyesha kunaongezeko kubwa la mashabiki wa timu hiyo wanaoendelea kumiminika uwanjani hapa.

Hadi muda huu washabiki wa Simba wameonyesha kuendelea kuingia uwanjani na kufikia idadi ya nusu uwanja.

Chanzo: mwananchi.co.tz