Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wa Barcelona waandika haya kuondoka kwa Iniesta

7187 30830144 414197449042938 105055806298259456 N TZW

Sun, 29 Apr 2018 Chanzo: bongo5.com

Ni ngumu kuzoea mazingira hasa rafiki yako wa karibu muliyezoeana kwa muda mrefu akisogea mbali kabisa na wewe – Kwa sasa kambi ya klabu ya Barcelona kunatawala huzuni baada ya kiungo wao Andres Iniesta kutangaza jana kuondoka mwishoni mwa msimu huu.



Mastaa wa klabu hiyo wakiongozwa na Lionel Messi, Luis Suarez na Gerard Pique wameonyesha hisia zao kwa mchezaji mwenzao huyo. Hapa chini ni baadhi ya maneno waliyoyaandika wachezaji wa Barca kwenye mitandao yao kuhusu kuondoka kwa Iniesta.

Lionel Messi

Andrés, thank you for all these years of football. It was a privilege to enjoy this sport by your side and spend so many unforgettable moments together. I wish you all the best in this new stage in sports and in your life. You are a phenomenon, inside and outside the court. We will miss you!!!

Luis Suarez

Today you made public your decision, but luckily I HAVE TIME TO CONTINUE ENJOYING YOURSELF, my friend!!! YOU ARE TOP

Chanzo: bongo5.com