Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara rasmi Yanga

MANARA JANGWANI Manara rasmi Yanga

Tue, 24 Aug 2021 Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz

ALIYEKUWA ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amejiunga na klabu ya Yanga leo Jumanne Agosti 24, 2021 katika ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

Manara awali aliondolewa katika wadhifa wa kuwa ofisa habariĀ  wa klabu ya Simba baada ya kutokea sintofahamu baina yake na uongozi wa klabu hiyo.

Manara alifika ukumbini hapa akiongozana na kaimu Katibu mkuu wa Yanga, Haji Manara na kukaribishwa na mhamasishaji Antonio Nugaz.

Manara aliingia uwanjani hapo akiambatana na familia yake huku sura yake ikiwa na furaha muda wote.

Chanzo: www.mwanaspoti.co.tz