Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara apewa siku 14, aombe radhi Yanga

13CF3949 B5F2 4B10 B559 849006E352D5.jpeg Manara apewa siku 14, aombe radhi Yanga

Fri, 19 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela ameeleza kuwa wamempa demand note ya siku 14 Afisa habari wa Simba SC Haji Manara na kumtaka aombe radhi kwa kuichafua brand ya Yanga.

“Tumetumia Juhudi Kubwa sana kutengeneza Brand ya Young Africa sio kazi ndogo, hapa katikati msemaji wa Simba SC Haji Manara amekuwa akichezea Brand kubwa ya Yanga”

“Sisi kama viongozi tumechukua hatua za kisheria tumempelekea demand note kupitia wanasheria wetu na kumpa siku 14 aombe msamaha na mwisho wa siku kama itashindikana tutampeleka Mahakamani”>>> Mwakalebela

Chanzo: millardayo.com