Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara amwagia sifa Niyonzima ‘ni mwanadamu wa kwanza duniani’

7835 Screen Shot 2018 05 11 At 16.53.46.png TZW

Fri, 11 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano ndani ya klabu ya Simba, Haji Manara amemwagia sifa kiungo wake raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima kuwa ni mchezaji pekee aliyepata bahati ya kutwaa taji la ligi kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo kuliko yeyote.



Manara kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram ameandika kuwa Niyonzima anakuwa mchezaji wa kwanza kushinda ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara mara nyingi tena kwa mfululizo.

Haruna Niyonzima anakuwa mwanadaamu wa kwanza duniani kushinda ubingwa wa Tanzania mara nne mfululizo kwa vilabu viwili tofauti…rekodi hii haijawekwa na yoyote bongo.



Loading...
Chanzo: bongo5.com