Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara amwaga cheche baada ya Simba kuwa mabingwa rasmi wa ligi kuu ‘haki imechelewa’

7771 Haji 1.png TZW

Fri, 11 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Hafisa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara ameanza kuongea baada ya Yanga kuvuliwa taji rasmi la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2017/18.



Kupitia ukurasa wake wa kijamii wa instagram, Manara ameandika kuwa haki imechelewa huku akimshukuru Mungu kwa kufanikiwa kutwaa taji hilo.

Sifa ziende kwa Mwenyezimungu Mwingi wa Rehma..muumba mbingu na ardhi..niseme nn zaidi ya hapo?

We are…..

We are

Haki imechelewa ila Mungu huyu ni wetu sote…..

Chanzo: bongo5.com