Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manara, Mkwewe na Monalisa ndani Bungeni (+picha)

WhatsApp Image 2021 06 04 At 11.15.00 660x400.jpeg Manara, Mkwewe na Monalisa ndani Bungeni (+picha)

Fri, 4 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Afisa Habari na Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara akiambatana na Mkewe  na Msanii wa filamu nchini, ambae piani Msemaji wa Simba Queens Yvonne Cherrie maarufu Monalisa wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge wakishuhudia wabunge wakiendelea na kikao cha 44 cha mkutano wa Bunge la Bajeti jijini Dodoma leo.









MSITU WA SHETANI, NGUVU ZA GIZA, MAAJABU YA KUTISHA, KONDOO 2OO NA WATU WAMEMEZWA
Chanzo: millardayo.com