Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majembe ya Yanga na Simba haya hapa

42147 PIC+KIKOSI Majembe ya Yanga na Simba haya hapa

Mon, 18 Feb 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

IKIWA yamebaki takribani masaa manne mchezo kati ya Yanga na Simba kupigwa, vikosi vya timu zote mbili tayari vimeshatoka na kuwa wazi moja kwa moja.

Katika kikosi cha Simba kuna mabadiliko kwenye safu ya ulinzi, baada ya kumuanzisha Zana Coulubaly kwenye eneo la beki wa kulia na kumuacha nje  Nicholas Gyan ambaye amekuwa akiaminika kwa mashabiki wengi.

Kikosi cha Yanga, Ramadhan Kabwili, Paul Godfrey, Gadiel Michael, Andrew Vicent, Kelvin Yondan, Abdallah Shaibu, Feisal Salum, Papy Tshishimbi, Herieter Makambo, Amis Tambwe na Ibrahim Ajib.

Kwa upande wa Simba kikosi  chao, Aish Manula, Zana Coulibaly, Mohammed Hussein, Juuko Murshid, Pascal Wawa, James Kotei, Clatous Chama, Jonas Mkude, John Bocco, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi.



Chanzo: mwananchi.co.tz