Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahojiano: Suleiman Nyambui, gwiji wa riadha aliegoma kurudi shule(+ Video)

Video Archive
Mon, 1 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Suleiman Nyambui Mujaya, si jina maarufu katika medani ya michezo hapa nchini kama ilivyo kwa kina Sunday Manara, Leodger Tenga, Abdallah Kibaden au Filbert Bayi.

Nyambui ni mmoja kati ya wanamichezo bora kabisa kuwahi kutokea nchini ambae alipata kuliletea sifa Taifa kwa kushinda medali kadhaa.

Nyambui alikua ni mkimbiza upepo (Mwanariadha) wa mbio ndefu, yaani Marathoni.

Mwaka 1980, alishiriki mbio za mita 5000 na kushinda medali ya Fedha, huko Moscow katika michuano ya Olimpiki.

Haya hapa mahojiano yake, fuatilia ili kumfahamu zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live