Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MICHEZO Msimamo wa Samatta kuhusu hatma ya Kapombe katika mgao wa Taifa Stars

Thu, 28 Mar 2019 Chanzo: --

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ameeleza msimamo wake kuhusiana na Shomari Kapombe ambaye aliumia mwaka jana akiwa katika majukumu ya Taifa Stars, RC Paul Makonda ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya uhamasishaji ya Taifa Stars aliahidi Tsh milioni 10 kwa kila mchezaji kama wataiwezesha Taifa Stars kufuzu AFCON 2019.

Chanzo: --