Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MANARA: YANGA WANAPAMBANA NA WANA ARI

Manara 2?fit=593%2C445 MANARA: YANGA WANAPAMBANA NA WANA ARI

Fri, 4 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Ofisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara anasema Yanga wana moyo wa kupigania timu yao ingawa hawechezi mpira mzuri pia hawana wachezaji wazuri, lakini wanapambana.

Ofisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara anasema Yanga wana moyo wa kupigania timu yao ingawa hawechezi mpira mzuri pia hawana wachezaji wazuri, lakini wanapambana. Manara anasema Simba wana timu nzuri kuliko timu yoyote hapa Tanzania Lakini wakati mwingine wanakosa ari ya mapambano (spirit).

Chanzo: zanzibar24.co.tz