Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MAJINA YA WAAMUZI 17 WATANZANIA WALIOTEULIWA KUVAA BEJI YA FIFA 2021

Fifa Logo MAJINA YA WAAMUZI 17 WATANZANIA WALIOTEULIWA KUVAA BEJI YA FIFA 2021

Sat, 19 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Waamuzi 17 wa Tanzania wameteuliwa kuvaa beji za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kwa mwaka 2021.

Kwa mujibu wa orodha ya FIFA iliyotumwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuna waamuzi wa kati sita, waamuzi wasaidizi tisa na wawili wa beach soccer.

Waamuzi wa kati:

1. Florentina Zablon 2. Hery Sasii 3. Jonesia Rukyaa 4. Martin Saanya 5. Mfaume Nassoro 6. Ramadhan Kayoko.

Waamuzi wasaidizi:

1. Abdulaziz Ally 2. Ferdinand Chacha 3. Frank Komba 4. Hellen Mduma 5. Janet Balama 6. Kassim Mpanga 7. Mbaraka Haule 8. Mohamed Mkono 9. Soud Lila

Katika beach soccer waamuzi walioteuliwa ni:

1. Geoffrey Tumaini 2. Jackson Msilimbo

Chanzo: zanzibar24.co.tz