Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Luc Eymael atimuliwa Young Africans

WhatsApp Image 2020 07 27 At 11.15.04 1.jpeg?fit=720%2C708 Luc Eymael atimuliwa Young Africans

Mon, 27 Jul 2020 Chanzo: dar24.com

Uongozi wa klabu ya Young Africans umetangaza kumtimua kocha wake Luc Eymael baada ya sauti yake yenye ujumbe wa ubaguzi kusambaa katika mitandao ya kijamii, pamoja na vituo mbalimbali vya habari.

Taarifa iliyotolewa mapema hii leo na klabu hiyo imesema kuwa umemfuta kazi leo Julai 27, 2020 na anatakiwa kuondoka nchini haraka iwezekanavyo.

“Klabu ya Yanga unawaomba radhi viongozi wa nchi, Shirikisho la Soka Tanzania, wanachama, wapenzi na mashabiki wa Yanga kutokana na kauli za kuudhi na kudhalilisha zilizotolewa na Eymael”

Chanzo: dar24.com